Swali: Mume anawaambia wake zake kila mwaka kuwa atasafiri na mmoja katika wao ambapo wakakubali mtazamo huo bila kupiga kura. Je, inajuzu kufanya hivo?
Jibu: Ndio. Haki ni yao. Wakiridhia jambo hilo ni sawa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (38)
- Imechapishwa: 23/06/2023