Swali: Nilikuwa ni mwenye kufunga siku miongoni mwa masiku ya Ramadhaan lakini nikawa nimekula kwa mume wangu kunihitajia. Nina nini juu yangu?
Jibu: Haina neno. Kulipa kuna wakati mpana mpaka kabla ya kufika Ramadhaan nyingine. ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) alikuwa na deni katika Ramadhaan na analichelewesha mpaka mwisho wa Sha´baan ili apate kumstarehesha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (52) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-18.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Nilikuwa ni mwenye kufunga siku miongoni mwa masiku ya Ramadhaan lakini nikawa nimekula kwa mume wangu kunihitajia. Nina nini juu yangu?
Jibu: Haina neno. Kulipa kuna wakati mpana mpaka kabla ya kufika Ramadhaan nyingine. ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) alikuwa na deni katika Ramadhaan na analichelewesha mpaka mwisho wa Sha´baan ili apate kumstarehesha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (52) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-18.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/kukata-swawm-ya-ramadhaan-kwa-ajili-ya-kustarehe-na-mume/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket