Kujiua wakati wa kuchelewa kuuliwa na maadui

Swali: Je, inafaa kwa waislamu kujiua ikiwa wanachelea kushambuliwa na maadui kwa ajili ya kutoa taarifa?

Jibu: Hapana, haijuzu kujiua. Wajitahidi kusalimika. Wasiziue nafsi zao.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23178/هل-يجوز-للاسير-قتل-نفسه-لمصلحة-المسلمين
  • Imechapishwa: 23/11/2023