Swali: Je, kunyoa ndevu kunaingia katika kujifananisha na wanawake?
Jibu: Kunyoa ndevu zote ni kujifananisha. Mwanamke ndiye ambaye hana ndevu. Unyoaji wa ndevu zote ni kujifananisha na wanawake. Pamoja na kwamba ni kujifananisha na makafiri pia. Kitendo hicho ni kujifananisha na makafiri na ni kujifananisha na wanawake pia. Akizinyoa zote kikamilifu kunakhofiwa juu yake laana.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24428/هل-يدخل-حلق-اللحية-في-التشبه-بالنساء
- Imechapishwa: 10/10/2024
Swali: Je, kunyoa ndevu kunaingia katika kujifananisha na wanawake?
Jibu: Kunyoa ndevu zote ni kujifananisha. Mwanamke ndiye ambaye hana ndevu. Unyoaji wa ndevu zote ni kujifananisha na wanawake. Pamoja na kwamba ni kujifananisha na makafiri pia. Kitendo hicho ni kujifananisha na makafiri na ni kujifananisha na wanawake pia. Akizinyoa zote kikamilifu kunakhofiwa juu yake laana.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24428/هل-يدخل-حلق-اللحية-في-التشبه-بالنساء
Imechapishwa: 10/10/2024
https://firqatunnajia.com/kujifananisha-na-wanawake-na-makafiri-pia/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)