Swali: Je, inajuzu kuishi kwa mshirikina mwenye makuba na mwenye kuchinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah?
Jibu: Haijuzu kuishi kwa mshirikina miongoni mwa watu wa makuba na anayechinja kwa ajili ya siyekuwa Allaah. Anaweza kumuathiri na kumuita katika shirki zake. Isipokuwa tu ikiwa kama atakuwa ametenzwa nguvu kufanya hivo au akaona kuna maslahi kwa kufanya hivyo ili kumlingania katika dini ya Allaah na kumwelekeza ajihadhari. Pengine kwa kufanya hivo Allaah akamwongoza na kumuelekeza katika kukubali haki.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/63-64)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)