Swali: Kuna ndugu mmoja anaishi nyumbani kwangu na sio miongoni mwa Mahram wa mke wangu na mimi huenda kazini na kumuacha nyumbani. Ni nini hukumu ya hilo?

Jibu: Maadamu hawakai faragha kati yake na mke wako, nyumbani kuna wanafamilia na wanawake wengine, haina neno. Hii sio faragha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (76) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-12.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020