Hana fungu katika Uislamu mwenye kuacha swalah

Swali: Anahesabika kuwa Muislamu yule anayetoa zakaah lakini hata hivyo akawa haswali?

Jibu: Hapana. Swalah ndio mama wa Uislamu. Zakaah yake haikubaliwi wala matendo yake mengine yote mpaka asimamishe swalah. Hana fungu katika Uislamu yule mwenye kuacha swalah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (76) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-12.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020