Swali: Katika mji wetu kumi la mwisho lote la Ramadhaan imamu wa msikiti wetu ana ada ya kusoma Suurah “al-Qadr” baada ya al-Faatihah na Suurah “al-Ikhlaasw” katika Rak´ah ya pili na anafanya hivi katika kila swalah. Je, hili lina msingi?

Jibu: Hili halina dalili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (76) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-11-12.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2020