Swali: Yapi maoni yako kuipa majina baadhi ya miradi ya kielimu au ya kidaktari na mengineyo kwa jina la “Ibn Siynaa”. Je, huku ni kumuadhimisha?
Jibu: Haijuzu hili. Huku ni kumuadhimisha Ibn Siynaa. Ibn Siynaa ni katika wakanamungu. Shaykh-ul-Islaam ana kijitabu kabainisha hali yake na kamraddi. Hili ni maarufu. Baba yake ni katika Baatwiniyyah. Ni kweli kuwa Ibn Siynaa ni mjuzi wa mambo ya udaktari. Bila shaka yajulikana alikuwa ni mjuzi katika elimu ya udaktari. Ama masuala ya ´Aqiydah na dini hapana! Alikuwa ni mkanamungu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tg–1431-11-11.mp3 Tarehe: 1431-11-11/2010-10-18
- Imechapishwa: 08/04/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)