Swali: Kuna maswali mengi yanayoulizia ni yepi yenye kufungamana na mwaka mpya wa Kiislamu…
Jibu: Hakuna kinachofungamana nao. Ni kama siku zingine zilizosalia. Haukufungamana na kitu. Ni ujinga kujifanyia hesabu nafsi yako. Ifanyie hesabu nafsi yako kila siku na si tu siku ya mwisho ya mwaka. Kila siku kunatimia mwaka na sio tu mwishoni mwa Dhul-Hijjah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (36) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majd%20-%2030%20-%2012%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 30/09/2020
Swali: Kuna maswali mengi yanayoulizia ni yepi yenye kufungamana na mwaka mpya wa Kiislamu…
Jibu: Hakuna kinachofungamana nao. Ni kama siku zingine zilizosalia. Haukufungamana na kitu. Ni ujinga kujifanyia hesabu nafsi yako. Ifanyie hesabu nafsi yako kila siku na si tu siku ya mwisho ya mwaka. Kila siku kunatimia mwaka na sio tu mwishoni mwa Dhul-Hijjah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (36) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majd%20-%2030%20-%2012%20-%201436.mp3
Imechapishwa: 30/09/2020
https://firqatunnajia.com/kuifanyia-hesabu-nafsi-kila-siku-na-si-mwisho-wa-mwaka-tu/