Swali: Baadhi ya mahujaji wanapomaliza kuhiji wanaosha mavazi ya Ihraam kwa maji ya zamzam na wanafanya ndio sanda yao. Je, kuna ubaya kufanya hivo?
Jibu: Hapana neno. Maji ya zamzam ni maji yenye baraka.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22294/حكم-غسل-ملابس-الاحرام-بزمزم-وجعلها-كفنا
- Imechapishwa: 29/01/2023