Swali: Kuna mtu amechukua mpoko benki. Anaweza kuhiji?

Jibu: Asihiji kwa pesa ya ribaa. Ahiji kwa pesa ya halali na si ya ribaa. Ajikwamue na pesa ya ribaa alionayo. Awape wahitaji na sio kwa lengo la swadaqah. Bali ni kwa lengo la kujikwamua nayo. Ni kama mfano wa pesa iliopotea mwenye nayo hapatikani ambayo wanapewa wahitajiaji.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir%20ayat-03-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2020