Asli haifai kwa mwanamke kuvaa suruwali

Swali: Ni ipi hukumu mwanamke kuswali na suruwali?

Jibu: Asli ni kuwa haijuzu kwa mwanamke kuvaa suruwali. Inaonyesha umbile lake. Suruwali sio katika mavazi ya wanawake wa Kiislamu katika nchi hii. Suruwali sio katika mavazi ya nchi hii. Kwa vile isitoshe pia suruwali sio katikam mavazi ya watu wa nchi hii asiivae kwa sababu ni kutaka kujulikana. Isitoshe jengine ni kuwa ina fitina kwa sababu inaonyesha maumbile yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir%20ayat-03-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2020