Swali: Je, inajuzu kwa msomaji Ruqyah kugusa mwili wa mwanamke anayemsomea?
Jibu: Ni haramu hili. Haijuzu kwake kumgusa mwanamke. Amsomee na asimsomee. Mwanamke awe amevaa Hijaab na awepo walii wake [mwanamke].
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Je, inajuzu kwa msomaji Ruqyah kugusa mwili wa mwanamke anayemsomea?
Jibu: Ni haramu hili. Haijuzu kwake kumgusa mwanamke. Amsomee na asimsomee. Mwanamke awe amevaa Hijaab na awepo walii wake [mwanamke].
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/kugusa-mwili-wa-mwanamke-wakati-wa-ruqyah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)