Swali: Ni ipi hukumu ya kufunga siku ya ijumaa peke yake?
Jibu: Imechukizwa. Aifunge pamoja na siku moja kabla au baada yake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
- Imechapishwa: 01/09/2023