Swali: Unasemaje juu ya mwenye kupiga picha vibonzo vya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambavyo vimefanywa na gazeti la Denmark na anazieneza kwa watu kwa hoja ya kwamba watu waone kitendo hichi kiovu ili aweze kukikataza?
Jibu: Wakati mwingine kukataza maovu kwa dhati yake inakuwa ni maovu. Kueneza picha hizi haijuzu. Haijuzu kueneza picha hizi. Lililo la wajibu ni kuziharibu na kumchukulia hatua. Mtu asizieneze kwa hali yoyote ile.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2105
- Imechapishwa: 30/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)