Kuegemea mikono yote miwili nyuma ya mgongo

Swali: Kuweka mikono yote mwili kwa nyuma na mtu akaiegemea?

Jibu: Hilo halina ubaya. Kilichokatazwa ni kuweka mkono wake kushoto nyuma ya mgongo wake na akauegemea.

Swali: Haijuzu ikiwa ni mkono wa kushoto?

Jibu: Ndio.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23344/هل-يجوز-وضع-كلتا-اليدين-وراء-الظهر
  • Imechapishwa: 29/12/2023