Swali: Inasihi kwa mwenye janaba na mwanamke kuchinja?
Jibu: Udhhiyah inafaa kumchinja ilihali mtu ni mwenye janaba na pia inafaa kwa mwanamke kuchinja Udhhiyah hata kama ni mwenye janaba.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Nuur ´alaad-Darb (2/13)
- Imechapishwa: 24/07/2020
Swali: Inasihi kwa mwenye janaba na mwanamke kuchinja?
Jibu: Udhhiyah inafaa kumchinja ilihali mtu ni mwenye janaba na pia inafaa kwa mwanamke kuchinja Udhhiyah hata kama ni mwenye janaba.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Nuur ´alaad-Darb (2/13)
Imechapishwa: 24/07/2020
https://firqatunnajia.com/kuchinja-udhhiyah-kwa-aliye-na-janaba/