Swali: Je, inajuzu kucheza na simu katikati ya Khutbah ya ijumaa?
Jibu: Hapana. Haijuzu kucheza na kitu; sawa ikiwa ni simu, Siwaak, kalamu au kitu kingine chochote. Haijuzu kucheza na huku imamu yuko anatoa Khutbah. Ni wajibu kukaa kimya.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fth-mjd-01061435-01.mp3
- Imechapishwa: 19/09/2020
Swali: Je, inajuzu kucheza na simu katikati ya Khutbah ya ijumaa?
Jibu: Hapana. Haijuzu kucheza na kitu; sawa ikiwa ni simu, Siwaak, kalamu au kitu kingine chochote. Haijuzu kucheza na huku imamu yuko anatoa Khutbah. Ni wajibu kukaa kimya.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fth-mjd-01061435-01.mp3
Imechapishwa: 19/09/2020
https://firqatunnajia.com/kuchezesha-simu-wakati-wa-khutbah/