Swali: Je, inajuzu kuchelewesha Sunnah ya Raatibah ya swalah ya ´ishaa mpaka wakati wa kabla ya kulala?
Jibu: Maadamu bado imo ndani ya wakati, haina neno. Lakini hata hivyo bora zaidi ni kuharakisha kuifanya ili asiisahau au akasikia uvivu kuiswali.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (68) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-05-21.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket