Nisikilize mawaidha au nilete Adhkaar?

Swali: Ni bora kumsikiliza mtoa mawaidha baada ya swalah au nianze moja kwa moja kuleta Dhikr zilizothibiti baada ya swalah?

Jibu: Unaweza kumsikiliza na huku unaleta Dhikr pasi na kunyanyua sauti yako. Katika hali hiyo utakuwa mwenye kujumuisha yote mawili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (68) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-05-21.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020