Swali: Watu wa mji wetu wamebomoa msikiti ili waujenge upya. Msikiti huu ulikuwa umejengwa juu ya kaburi. Baada ya kuanza ujenzi walirudisha jengo hilo kwenye kaburi lile na hawakuliweka nje ya msikiti. Ni ipi hukumu ya kujitolea kwa msikiti huu na inajuzu kuswali ndani yake baada ya kuujenga kwenye kaburi kwa vile kaburi liko kwenye chumba na mlango wake wa kuingilia unapitia msikitini?
Jibu: Ikiwa hali ya mambo ni kama ulivyosema haijuzu kujitolea kujenga msikiti huu wala kushiriki katika kuujenga. Vilevile haijuzu kuswali ndani yake. Bali lililo la wajibu ni kuubomoa.
- Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/272)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Watu wa mji wetu wamebomoa msikiti ili waujenge upya. Msikiti huu ulikuwa umejengwa juu ya kaburi. Baada ya kuanza ujenzi walirudisha jengo hilo kwenye kaburi lile na hawakuliweka nje ya msikiti. Ni ipi hukumu ya kujitolea kwa msikiti huu na inajuzu kuswali ndani yake baada ya kuujenga kwenye kaburi kwa vile kaburi liko kwenye chumba na mlango wake wa kuingilia unapitia msikitini?
Jibu: Ikiwa hali ya mambo ni kama ulivyosema haijuzu kujitolea kujenga msikiti huu wala kushiriki katika kuujenga. Vilevile haijuzu kuswali ndani yake. Bali lililo la wajibu ni kuubomoa.
Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/272)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/kuchangia-kujenga-misikiti-ilio-na-makaburi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)