Swali: Kuhusu mimba zinazotungwa kwenye chupa mahabara. Madaktari huwaonyesha wanandoa na kuwauliza kama wanataka mtoto huyu awe wa kiume au wa kike. Je, inafaa kitu kama hichi? Je, inafaa kwao kuchagua?
Jibu: Wakitaka awe wa kiume anakuwa wa kiume? Kama Allaah hakutaka awe wa kiume hawi wa kiume.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (67)
- Imechapishwa: 10/03/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)