Kubadilisha maeneo wakati wa kuswali Sunnah

Swali: Je, maeneo yatamshuhudia yule mswaliji anayebadilisha sehemu ya kuswalia[1]?

Jibu: Ni sawa kwa anayefanya na kwa anayeacha. Anayebadilisha maeneo ni sawa na anayeswali maeneo yaleyale ni sawa. Kuna wigo katika jambo hili. Kumepokelewa juu yake Hadiyth dhaifu.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/kubadilisha-maeneo-baada-ya-swalah-ya-faradhi/

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22567/ما-صحة-ان-مواضع-الصلاة-تشهد-لصاحبها
  • Imechapishwa: 06/07/2023