Swali: Kupita njia moja na wakati wa kurudi kupita nyingine ni jambo maalum kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) au ni kwa watu wote? Je, anapata ujira yule mwenye kufanya hivo kwa nia ya kumuiga Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Ndio, anapewa ujira mwenye kufanya hivo kwenda njia tofauti wakati wa Istisqaa´, ´iyd, ijumaa na kadhalika. Ni jambo limependekezwa ikiwa linawezekana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-11.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014