Swali: Ikiwa mnyama wa Udhhiyah ana mimba, je, inajuzu kumchinja?

Jibu: Ndio, hakuna neno kumchinga na ana mimba. Kiko wapi kipingamizi?

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-11.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014