Swali: Baadhi yao ukiwaambia waape kwa jina la Allaah wanafanya hivo na ukiwaambia waape kwa jina la walii wanafanya hivo.

Jibu: Asiape kwa walii. Huku ni kumtukuza walii. Akiwa anamtukuza walii zaidi ya anavyomtukuza Allaah ni ukafiri mkubwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ttps://binbaz.org.sa/fatwas/22063/حكم-الحلف-بالاولياء-وتعظيمهم
  • Imechapishwa: 21/10/2022