Swali: Je, inajuzu kuapa kwa Qur-aan na kuapa kwa asiyekuwa Allaah?
Jibu: Inajuzu kuapa kwa Qur-aan kwa kuwa ni maneno ya Allaah. Maneno Yake ni sifa miongoni mwa sifa Zake (Ta´ala).
Ama kuhusu kuapa kwa asiyekuwa Allaah haijuzu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mwenye kuapa kwa asiyekuwa Allaah amefanya shirki.”
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/235-236)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Je, inajuzu kuapa kwa Qur-aan na kuapa kwa asiyekuwa Allaah?
Jibu: Inajuzu kuapa kwa Qur-aan kwa kuwa ni maneno ya Allaah. Maneno Yake ni sifa miongoni mwa sifa Zake (Ta´ala).
Ama kuhusu kuapa kwa asiyekuwa Allaah haijuzu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mwenye kuapa kwa asiyekuwa Allaah amefanya shirki.”
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/235-236)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/kuapa-kwa-qur-aan/