Swali: Unasemaje kwa mwenye kuapa “Ninaapa kwa Mola wa Ka´abah” (wa Rabb-ul-K´bah)?

Jibu: Ni kiapo sahihi. Mola wa Ka´bah ni Allaah (Jalla wa ´Alaa). Kilichokatazwa na kuapa “Ninaapa kwa Ka´bah”. Hili halijuzu kwa kuwa Ka´bah ni kiumbe. Haijuzu kuapa kwa asiyekuwa Allaah (Jalla wa ´Alaa). Ama mtu akiapa “Ninaapa kwa Mola wa Ka´abah ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah (4) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ftn–1432-08-18.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2015