Du´aa unapokuwa kati ya maadui

Swali: Je, inajuzu kusema:

وَجَعَلْنَا مِن بَيْنِ أَيْدِيهِمْ سَدًّا وَمِنْ خَلْفِهِمْ سَدًّا

“Na Tumeweka mbele yao kizuizi na nyuma yao (pia) kizuizi.” (36:09)

wakati ninapokhofia jambo langu kufichuka?

Jibu: Ukiwa kati ya maadui zako ni sawa ukasema hivi kwa njia ya Du´aa. Ama ukiwa kati ya Waislamu na sio maadui, usisemi hivi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kitaab Ahaadiyth-il-Fitnah (5) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ftn–1432-08-22.mp3
  • Imechapishwa: 21/04/2015