Swali: Ni ipi hukumu ya kuangalia matendo ya wachawi?
Jibu: Haijuzu isipokuwa kwa ajili ya kuwakemea na kuwabainishia hukumu yake. Baadhi yao huonyesha watu kuku, ndege, njiwa na shomoro na wakasema kuwa wametoka mdomoni mwake na tumboni mwake. Yote haya ni kuwatia watu mchanga wa machoni.
Swali: Ni ipi hukumu ya kuhudhuria hapo?
Jibu: Ahudhurie kwa ajili ya kuyakemea.
Swali: Vipi kwa ajili ya kuburudika?
Jibu: Hili halijuzu. Ni maovu, isipokuwa isipokuwa kwa minajili ya kujua ukweli wa mambo ili baada ya hapo awashtaki.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24612/ما-حكم-مشاهدة-اعمال-السحرة
- Imechapishwa: 09/11/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)