Swali: Wanayofanya baadhi ya watu kutuma karatasi ya Talaka kwa familia ya mke wake kunatosheleza kupita kwa Talaka?
Jibu: Ndio. Akiandika Talaka na kuituma kwake, Talaka inapita. Kwa kuwa kumtumia hii ni dalili ya kuwa kakusudia Talaka. Kwa kuwa wanachuoni wanasema, kule kuandika tu, haipiti Talaka mpaka mtu anuie. Na kumtumia karatasi, hii ni dalili ya kuwa kanuia. Talaka inakuwa imepita.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/10049
- Imechapishwa: 03/03/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related

Kaandika talaka kisha kaichana, je imepita?
https://www.youtube.com/watch?v=MWFYhTsoHI4 Swali: Mimi nimemuoa mwanamke ambaye anaasi amri zangu na wala hanitii kwa kitu. Na daima anatoka nyumbani bila ya idhini yangu nakwenda kufanya baadhi ya kazi ambazo zimenifanya kunighadhibisha na kufikiria kumtaliki. Ikawa nimeandika karatasi ambapo nimeandika kuwa "nimekutaliki Talaka mbili" na nikamtaja kwa jina lake na la baba…
In "Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz"

al-Fawzaan kuhusu msimamo wa Imaam Ibn Baaz kuhusu kuapa kwa talaka
https://www.youtube.com/watch?v=PGonHNsOT74 Swali: Inanukuliwa kutoka kwa Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) ya kwamba haipiti Talaka kwa kuapa na wala haihesabiki... Jibu: Ni sahihi. Anafutu kwa hili. Lakini hata hivyo, rai hii haina nguvu. Na Riwaayah tulionayo sahihi ni kuwa inapita. Kwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema: "Muamrishe amrejee…
In "Makala"

Hakutazamwi nia ya mtamkaji talaka isipokuwa ya kinaya
https://www.youtube.com/watch?v=OcsKBXCaqV0 Swali: Ikiniteleza nikaapa kwa asiyekuwa Allaah pasina kukusudia, je mimi nitakuwa mwenye madhambi kwa hilo? Na lipi ni kubwa; kufanya hivyo au Zinaa na kunywa pombe? Jibu: Mwenye kufanya hivyo kakusudia kuapa kwa Talaka (na si kwa asiyekuwa Allaah). Mtu akiapa kwa Talaka, je Talaka inapita au inakuwa ni…
In "´Allaamah Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan"