Swali: Muadhini akiadhini bila ya kuwa na wudhuu´ adhaana yake ni sahihi?
Jibu: Ndio, adhaana haishurutishi wudhuu. Imependekezwa. Imependekezwa akaadhini akiwa na wudhuu´. Lau ataadhini bila ya kuwa na wudhuu adhaana yake ni sahihi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
- Imechapishwa: 21/06/2020
Swali: Muadhini akiadhini bila ya kuwa na wudhuu´ adhaana yake ni sahihi?
Jibu: Ndio, adhaana haishurutishi wudhuu. Imependekezwa. Imependekezwa akaadhini akiwa na wudhuu´. Lau ataadhini bila ya kuwa na wudhuu adhaana yake ni sahihi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
Imechapishwa: 21/06/2020
https://firqatunnajia.com/kuadhini-bila-ya-kuwa-na-wudhuu/