Mwanamke kwenda saluni kupambwa

Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kwenda saluni kujipamba pamoja na kujua kuwa mpambaji ni mwanamke? 49

Jibu: Hapana. Ajipambe nyumbani kwake. Ajipambe nyumbani kwake na asiende kwenye manyumba ya watu au wambea. Asiwaendee. Ajipambe nyumbani kwake. Akiwa yuko na mwanamke mwenye kumpamba nyumbani kwake ni jambo zuri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
  • Imechapishwa: 21/06/2020