Kuacha wasia kwa wasiokuwa jamaa

Swali: Ni ipi hukumu ya mtu kuacha anausia mirathi kwa ndugu ambao hawana haki ya kurithi? Ni lazima au inapendeza?

Jibu: Inapendeza. Kuwasaidia ndugu ambao si wenye kurithi inapendeza. Kuhusu wale wenye kurithi haifai. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Hakuna wasia kwa wenye kurithi.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21565/حكم-الوصية-للاقارب-غير-الوارثين
  • Imechapishwa: 25/08/2022