Swali: Hadiyth inayosema:
“Watu aina saba Allaah atawafunika chini ya kivuli Chake.”
Ziada inayosema:
“Watu aina saba Allaah atawafunika chini ya kivuli cha ´Arshi Yake.”
Ni Swahiyh?
Jibu: Ndio.
Swali: Wale ambao wamedhoofisha ziada hiyo wana haki ya kusema kuwa ambaye atasema chini ya kivuli cha ´Arshi Yake amepindisha maana? Je, ambaye amesema kuwa ni kivuli ambacho Allaah atakiumba siku hiyo anayo hoja juu ya maoni hayo?
Jibu: Kwa hali yoyote mambo kama haya mtu anatakiwa kukomeka juu ya yale yaliyopokelewa. Muda wa kuwa kumethibiti kivuli cha Allaah (Jalla wa ´Alaa) basi kinatakiwa kuthibitishwa kutokana na inavyolingana na utukufu na ukubwa Wake. Kuhusu kivuli cha Allaah hakilingani na vivuli vya viumbe Wake. Hakuna mgongano kati ya vivuli hivyo viwili.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Kariym bin ´Abdillaah al-Khudhwayr
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://saif.af.org.sa/sites/default/files/02_32.mp3
- Imechapishwa: 12/09/2022
Swali: Hadiyth inayosema:
“Watu aina saba Allaah atawafunika chini ya kivuli Chake.”
Ziada inayosema:
“Watu aina saba Allaah atawafunika chini ya kivuli cha ´Arshi Yake.”
Ni Swahiyh?
Jibu: Ndio.
Swali: Wale ambao wamedhoofisha ziada hiyo wana haki ya kusema kuwa ambaye atasema chini ya kivuli cha ´Arshi Yake amepindisha maana? Je, ambaye amesema kuwa ni kivuli ambacho Allaah atakiumba siku hiyo anayo hoja juu ya maoni hayo?
Jibu: Kwa hali yoyote mambo kama haya mtu anatakiwa kukomeka juu ya yale yaliyopokelewa. Muda wa kuwa kumethibiti kivuli cha Allaah (Jalla wa ´Alaa) basi kinatakiwa kuthibitishwa kutokana na inavyolingana na utukufu na ukubwa Wake. Kuhusu kivuli cha Allaah hakilingani na vivuli vya viumbe Wake. Hakuna mgongano kati ya vivuli hivyo viwili.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Kariym bin ´Abdillaah al-Khudhwayr
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://saif.af.org.sa/sites/default/files/02_32.mp3
Imechapishwa: 12/09/2022
https://firqatunnajia.com/kivuli-cha-allaah/