Kitanzi cha kuzuia mimba au kidude

Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia kitanzi cha kuzuia mimba (coil)?

Jibu: Wanafanya hivo kwa ajili ya kuzuia mimba. Bora ni kuacha kufanya hivo. Bora ni kuacha kutumia kidude na vidonge vya kuzuia mimba. Azae isipokuwa kama kuna haja; ikiwa kushika mimba kunamdhuru au ana watoto wengi ambapo wakaridhiana na mume wake. Katika hali hiyo hapana vibaya – Allaah akitaka.

Swali: Wakati wa haja atumie kitanzi cha kuzuia mimba?

Jibu: Kitanzi cha kuzuia mimba na vidonge kwa sababu vinazuia mimba kwa muda tu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22193/حكم-استخدام-اللولب-والحبوب-لمنع-الحمل
  • Imechapishwa: 11/11/2022