Ahmad bin Salamah amesema:
“Muslim alikuwa na kikao kwa ajili ya kujikumbusha. Akasikia Hadiyth ambayo hajawahi kuisikia, akaenda nyumbani kwake, akawasha mataa na akawaambia watu wa nyumbani: “Asiingie yeyote katika nyinyi.” Akaambiwa: “Tumeletewa kikapu cha tende.” Akasema: “Kileteni.” Wakamletea nacho na akaanza kuitafuta Hadiyth na huku anakula tende moja baada ya nyingine. Kulipoingia asubuhi tende zikaisha na akaipata Hadiyth.”
Ameipokea Abu ´Abdillaah al-Haakim ambaye amesema:
“Kuna rafiki mwaminifu aliyenambia kwamba ndio ilikuwa sababu ya kufa kwake.”
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Siyar A´laam-in-Nubalaa’ (12/564)
- Imechapishwa: 26/11/2020
Ahmad bin Salamah amesema:
“Muslim alikuwa na kikao kwa ajili ya kujikumbusha. Akasikia Hadiyth ambayo hajawahi kuisikia, akaenda nyumbani kwake, akawasha mataa na akawaambia watu wa nyumbani: “Asiingie yeyote katika nyinyi.” Akaambiwa: “Tumeletewa kikapu cha tende.” Akasema: “Kileteni.” Wakamletea nacho na akaanza kuitafuta Hadiyth na huku anakula tende moja baada ya nyingine. Kulipoingia asubuhi tende zikaisha na akaipata Hadiyth.”
Ameipokea Abu ´Abdillaah al-Haakim ambaye amesema:
“Kuna rafiki mwaminifu aliyenambia kwamba ndio ilikuwa sababu ya kufa kwake.”
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Siyar A´laam-in-Nubalaa’ (12/564)
Imechapishwa: 26/11/2020
https://firqatunnajia.com/kitabu-na-kikapu-cha-tende/