Kitabu cha kuwafunza watoto Tawhiyd

Swali: Nataka kuwafunza Tawhiyd watoto wangu katika nchi yangu kwa njia nyepesi kwa sababu watu wengi huko wanafikisha miaka thelathini na bado hawatambua maana ya shahaadah mbili. Unaninasihi nini? Vipi nitawafunza kwa njia nzuri?

Jibu: Wafunze “Thalaathat-ul-Usuwl”. Ni fupi, iko wazi na nzuri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (92) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D8%A6%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-29-07-1439%D9%87%D9%80%200010.mp3
  • Imechapishwa: 14/07/2018