Kisomo cha mwanamke cha Qur-aan wakati wa hedhi

Swali: Je, inafaa kwa mwanamke aliye na hedhi kusoma Qur-aan?

Jibu: Ndio, asome kiyomoni bila kuigusa Qur-aan. Aisome kimoyoni akichelea kuisahau kama amehifadhi; asome pasi na kugusa msahafu. Vivyo hivyo kama ni wakati wa mtihani; aisome pasi na kugusa msahafu. Aisome nyuma ya kizuizi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 01/06/2023