Eda baada ya hedhi kusita bila kutambulika sababu

Swali: Hedhi ya mwanamke ikikoma na hajui ni kwa sababu gani. Lakini baada ya uchunguzi wa kisasa wa picha, akaona kuwa si mjamzito. Je, eda yake itakwisha baada ya miezi kadhaa?

Jibu: Alipeleke kwa Qaadhiy. Qaadhiy akitoa hukumu yake, ataichukua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
  • Imechapishwa: 01/06/2023