Kipi bora cha kufanya baina ya ´Ishaa na Tarawiyh?

Swali: Je, bora kwa mtu afanye Adhkaar au aswali Rak´ah mbili baina ya ´Ishaa na Tarawiyh?

Jibu: Sunnah ya ´Ishaa inakuwa kabla ya Tarawiyh. Tahajjud inakuwa baada ya Sunnah ya ´Ishaa. Aswali ´Ishaa, kisha Raatibah, kisha aswali Tahajjud usiku Tarawiyh au nyingine.

Swali: Je, bora afanye Tasbiyh au aswali Rak´ah mbili hizi?

Jibu: Aswali Raatibah baada ya kumaliza Adhkaar. Hiyo ndio Sunnah. Sunnah ni yeye alete zile Adhkaar zilizowekwa katika Shari´ah kisha ndio aswali Raatibah.

Swali: Hata kama imamu atasogea mbele na kuswali Tarawiyh?

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22857/ما-الافضل-من-التطوع-بين-العشاء-والتراويح
  • Imechapishwa: 30/08/2023