Kinachozingatiwa ni dalili na sio tofauti

Swali: Je, masuala ya picha za photography tofauti yake ni kubwa?

Jibu: Tofauti inatokea. Lakini kinachozingatiwa ni yule alie na dalili. Kauli sahihi katika tofauti ni ile ambayo imesimama juu ya dalili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14301
  • Imechapishwa: 17/11/2014