Kupiga picha kiungo katika mwili mbali na uso

Swali: Je, inajuzu kupiga picha kiungo miongoni mwa viumbe vilivyo na roho?

Jibu: Makatazo yako wapi? Hakuna neno. Kilichokatazwa ni picha kamilifu na uso kwa dhati yake. Hii ndio picha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14301
  • Imechapishwa: 17/11/2014