Kinachosemwa katika Sujuud ya kusahau

Swali: Mtu anatakiwa kusema nini katika Sujuud-us-Sahuw?

Jibu: Yale anayosema katika Sujuud ya Swalah ”Subhaana Rabbi al-A´laa”. Aikariri na aombe Du´aa ikiwa kama anataka kufanya hivo.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14705
  • Imechapishwa: 19/04/2015