Kinachomlazimu aliyemgonga msichana mdogo akafa

Swali: Alimgonga msichana mdogo akafa. Je, analazimika kufunga au atoe kafara?

Jibu: Ataacha mtumwa huru. Akishindwa atalazimika kufunga miezi miwili mfululizo ikiwa yeye ndiye aliyesababisha kifo chake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23642/ما-الحكم-فيمن-دهس-بنتا-صغيرة-وماتت
  • Imechapishwa: 07/03/2024