Swali: Unasemaje kuhusu kuuza na kununua msikitini?
Jibu: Kuuza na kununua msikitini haijuzu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mkimuona anayeuza au kununua msikitini mwambieni:
لا أربح الله تجارتك
“Allaah asiipe faida biashara yako!”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23643/حكم-البيع-والشراء-في-المسجد
- Imechapishwa: 07/03/2024
Swali: Unasemaje kuhusu kuuza na kununua msikitini?
Jibu: Kuuza na kununua msikitini haijuzu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Mkimuona anayeuza au kununua msikitini mwambieni:
لا أربح الله تجارتك
“Allaah asiipe faida biashara yako!”
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23643/حكم-البيع-والشراء-في-المسجد
Imechapishwa: 07/03/2024
https://firqatunnajia.com/duaa-dhidi-ya-anayeuza-au-kununua-msikitini/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)