Swali: Baadhi ya Hizbiyyuun wanasema eti Salafiyyuun kila siku humtoa nje mlinganizi. Ni tutaraddi madai haya?

Jibu: Hawamtoi nje yeyote. Mtu mwenyewe ndiye anayejitoa kwa kule kujichagulia kwake mwenyewe Bid´ah na kuwafuata wazushi.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://sahab.net/forums/showthread.php?t=383822
  • Imechapishwa: 11/12/2020