Swali: Kuao kwa nia ya kuacha wanachuoni wameita ´ndoa geni`?
Jibu: Sijui. Kikosi cha wanachuoni wengi wameona kuwa ni ndoa isiyokuwa na neno muda wa kuwa nia yake ni kati yake yeye na Allaah peke yake. Lakini wakiwekeana sharti haitofaa. Lakini bora ni kuacha kunuia hivo, kama alivosema al-Awzaa´iy na wanachuoni wengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaad-ud-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/6373/%D9%87%D9%84-%D9%8A%D9%81%D8%B6%D9%84-%D8%AA%D8%B1%D9%83-%D8%A7%D9%84%D9%86%D9%8A%D8%A9-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%B2%D9%88%D8%A7%D8%AC-%D8%A8%D9%86%D9%8A%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D8%B7%D9%84%D8%A7%D9%82
- Imechapishwa: 16/01/2021
Swali: Kuao kwa nia ya kuacha wanachuoni wameita ´ndoa geni`?
Jibu: Sijui. Kikosi cha wanachuoni wengi wameona kuwa ni ndoa isiyokuwa na neno muda wa kuwa nia yake ni kati yake yeye na Allaah peke yake. Lakini wakiwekeana sharti haitofaa. Lakini bora ni kuacha kunuia hivo, kama alivosema al-Awzaa´iy na wanachuoni wengine.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaad-ud-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/6373/%D9%87%D9%84-%D9%8A%D9%81%D8%B6%D9%84-%D8%AA%D8%B1%D9%83-%D8%A7%D9%84%D9%86%D9%8A%D8%A9-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%B2%D9%88%D8%A7%D8%AC-%D8%A8%D9%86%D9%8A%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D8%B7%D9%84%D8%A7%D9%82
Imechapishwa: 16/01/2021
https://firqatunnajia.com/kikosi-cha-wanachuoni-wengi-kuhusu-kuoa-kwa-nia-ya-kuacha/