Swali: Vipi ikiwa nguo inafika kwenye kongo mbili za miguu na haiendi chini yake?

Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Kilichoko chini ya fundo mbili za miguu ni Motoni.”

Lakini kile kitendo cha yeye kuinyanyua kunampamba na kumtia mbali zaidi na utata.

Swali: Vipi ikiwa nguo inagusa kongo mbili za miguu?

Jibu: Hapana vibaya. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Kilichoko chini ya fundo mbili za miguu ni Motoni.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21630/ ما-حد-اسبال-الثياب
  • Imechapishwa: 03/09/2022